Maujanja ya Simu-Namba 6

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Duh aiseee!! Lap yangu bana imepigwa na mafua kidogo, display imekufa, so coz ina warrant basi nimeisafirisha kidogo, so kwa sasa Napata shida kidogo kuingia JF hasahasa hili jukwaa letu.
Anyway hembu tuangalie maujanja haya kwa muendelezo wa ile mada yetu ile.

1. Jinsi ya kucheki IMEI(International Mobile Equipment Identity) feki za simu za kichina

Ujue IMEI namba ni muhimu sana kwa security ya simu yako pindi inapoibiwa. Sasa hpa bongo kuana mobile nyingi sana za kichina zinaingia. KIwa dunia ya sasa nyingi(za kichina) zisizo au zilizo na wrong IMEI namba zinapigwa ban kwenye baadi ya nchi ikiwepo india.
Mwenye Mchina brandi za Alkatel, Sigmatel, Spice, Carboonn wanatoa valid IMEI namba, na ukitaka kujua IMEI yako ni fake au correct basi fanya yafuatayo:
-Bofya *#06# katika handset yako halafu ziandike digit 15 za IMEI namba yako pembeni
-Nenda sehemu ya message halafu ziandike zile digit 15 za IMEI namba yako
-Tuma hiyo msg kwenda namba 53232
-Kama msg ya eply ikija "success" so IMEI namba yako iko pouwa
-Na kama reply ikija "Invalid IMEI" ina maana kwamba IMEI yako haiku pouwa
-You are done

Baadhi ya codes za hizo simu ni kam ifuatavyo:
–Default user code : 1122, 3344, 1234, 5678
–Engineer mode : *#110*01#
–Factory mode : *#987#
–Enable COM port : *#110*01# -> Device -> Set UART -> PS Config -> UART1/115200
–Restore factory settings : *#987*99#
–LCD contrast : *#369#
–Software version : *#800#
–Software version : *#900#
–Set default language : *#0000# Send
–Set English language : *#0044# Send
–Set English language (new firmware) : *#001# Send

2. Baadhi ya Nokia Mobile Phone secret codes
-*#06# kucheki IMEI namba
- *#7780# kureset settings za kiwandani kama simu yako inazingua
- *#0000# kuangalia software version
- *#2820# Kuangalia address ya Bluetooth
- *#746025625# Kuruhusu status ya Sim clock
- #pw+1234567890+1# Kuonyesha kama simcard yako ipo restricted au vipi

-*#92702689# Hii namba inakupeleka kwenye menu yenye information zifuatazo
• Kudisplay serial namba ya simu yako
• Kudisplay mwezi na mwaka wa matengenezo ya simu yako
• Inadisplay tarehe simu simu yako iliponunuliwa(kama ipo)
• Inadisplay tarehe ya mwisho walivyoifanyia repair
• Inaonyesha "life timer" ya simu yako

-*#3370# - Enhanced Full Rate Codec (EFR) activation. Hii mara nyingi inaongeza signal strength na better signal reception. Vilevile inasaidia sana kama unataka kutumia GPRS na kama service hiyo hairespond au iko mwendo wa kobe(slow). Vilevile inaongeza betri ya simu
*#3370* - (EFR) deactivation ya hiyo huduma ya juu

*#4720# - Half Rate Codec activation.
-*#7328748263373738# Hii namba ina-resets security code kama ikizingua. Default security code mara nyingi ni 12345 3.

3. Kutrace Mobile namba au IP-Address

Nimeiona website moja ambayo unaweza ukatrace kirahisi Mobile namba. Hii inaruhusu kuingiza namba 10 za simu(ukiwa india) na utapata Mobile service provider, Location yake, Mji uliopo kwenye eneo husika nk
Site yenyewe ni
www. indiatrace.com
Fiture yah ii site ni
-Kutrace mobile number
-Kutrace vehicle namba
Kutrace Pin Code
Kutrace IP Address nk.
Hembu jaribu uone.

Niishie hapo kwa leo. Kwa mada zilizopita Gonga
hapa na hapa.

Nawatakia HERI NA BARAKA ZA X-MASS WAPENDWA WOTEEE WAJF...!!


tinkerbell.gif
mc.gif



merry_christmas_7.gif

merry-christmas.gif


2i9m911.jpg

jidhjp.gif
 
na jeee hakuna code za kujua kama sm ni feki ama original

zamani ilikuwepo kwenye nokia 3310 kama ikizima na ikiwaka baada yakuingiza namba fulani hivi (nimeshazisahau) ndio unajua kama iko poa au la kwa sasa sijui unafanyaje kujua hilo..ngoja niingie chimbo kucheki..
 
mkuu nakupa big-up!
Simu yangu aina ya Sony Ericsson model J108i maarufu kama cedar ina tatizo: niiwasha ina-display hivi:
NOTE: ALL CONTENT IN MEMORY CARD WILL BE LOST FORMAT ANYWAY? Alafu zinakuwepo option mbili YES na NO,nikibonyeza yes inaniambia niimgize PIN number je nami sijuhi hiyo namba...nimejaribu 0000 na 1234 zimekataa nifanyeje,msaada mkuu!
 
Ok thank kwa wote mlio-comment...nitaanza kujibu moja baada ya nyingine..ujue mpaka nipate time niende net ndio nakuwa pouwa...anyway
 
Back
Top Bottom