Hebu check kama kwenye hiyo OS inayokataa kutoa sauti kama sound drivers zipo, na je ni sahihi, kama hazipo jaribu kudownload kulingana na specifications za PC yako.
ingia kwenye website ya pc yako(aina ya pc) utakuta sehemu wameandika drivers,hapo utaulizwa os yako,basi andika naanza kudownload mkuu! pia usisahau kuspecifayi unataka driver gani?
nimefanya hiyo kitu ila wakati na install wananiambia hivi
- download the softpaq.EXE to a directory on your hard drive
- to install Excute the Setup,exe file unpacked
sasa jaman cjapitia IT msaada kwa hili. PLZ PLZ PLZ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.