Boss hilo tatizo sio kwako tu, hata mimi nipo mikoa ya kaskazini huku ninahangaika sana siku hizi.
Mchana mambo swaafi kabisa, ila ikifika mida ya jioni jioni inakuwa extraordinary slow yaani hata ile logic ya 3G inakosa maana coz speed inalingana na GPRS. Ila ikishafika kuanzia saa sita usiku inarudi hali ya kawaida. Hata kama ni congestion ya mtandao hii imezidi.
Kwa kuwa kuna bango lao hapo juu, najua wanapita pita humu, ni vema warekebishe hili tatizo kabla watu hawajaanza kuhama Airtel. Tumewasisia sana wameishaanza kujisahau sasa. Nina wasiwasi huenda hata gemu la leo usiku huenda nikashindwa kuliona.