Msaada wenu wataalam plz kabla sijafungwa na kuozea jera.

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,155
Wakuu naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye kujua ni wapi naweza pata/down load engine electrical wiring.
Mchoro wa engine model :1KZ-TE, 1JZ
kuna gari ilipata ajari so wezi waliiba baadhi ya sensor za kwenye engine pamoja na control yenyewe na waya zikakatwa katwa sana.
Naomba msaada wenu gari nimeifanyia wiring lkn inazingua.
Naomba msaada wenu.
 
Pole mkuu,ngojea 2google,ikishindikana kabisa itajibidi uwaone toyota tz wanaweza wakawa na wiring diag.
 
Engine Control diagram ni the same na engine wiring? Hii ni engine control
engineCONTROL.jpg
 
Pole mkuu,ngojea 2google,ikishindikana kabisa itajibidi uwaone toyota tz wanaweza wakawa na wiring diag.

mkuu toyota wanazingua sana ukienda pale wanakuletea mapozi kibao wanazingua sana mpaka wanachefua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom