MODEM ya Airtel

Nyamburi

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
306
36
Wadau habari,naombeni msaada wenu,natafuta modem kwa ajili ya matumizi ya internet ya airtel,nimetafuta sana kwy maduka yao lakini wanadai hawana kwa sasa,au naweza kupata wapi modem ambayo ni UNLOCKED ambayo itakua rahisi kutumia mtandao wa airtel/wowote?
 
Nunua ya voda,then ichakachue...kwanza modem za airtel bei kubwa
 
Back
Top Bottom