Ninapoplay baadhi ya nyimbo kwenye computa pale chini kulia naona maneno haya na nnapoyaclick inaonekana kama ni configuration je ni nini hv na nifanyaje?
Before You Select a Desktop Computer System
Looking to buy a new desktop personal computer system? This guide covers many of the basic items to examine when comparing desktop computer systems so...
Wadau hivi ndivyo inavyoniambia comp ninapojaribu kumalizia driver niliyodownload(wifi) kutoka katika dell.com kwajili ya deli yangu d630. Tatizo nini na nifanye nini?
Nilisahau mahali charger yangu ya Samsung. Nimenunua ya kichina juzi inafanya kazi ila baada ya muda simu inazima. Unapodhani imejaa unachomoa charger ukiwasha simu bar hazijajaa! Nilipokuwa na...
Dear great thinkers,
nina tatizo la simu kutopokea wala kutuma kwa blue tooth. Simu yangu ni iphone4, nifanyeje ili simu hii iweze kupokea na kutuma picha, muziki, n.k. Nisaidieni.
Najaribu ku google nipate picha za mafuriko jijini Dar Es Salaam, naingiza neno "Picha za......" kudadadeki, mambo iliyoniletea imenifanya niachane kabisa na hiyo kitu kwa kuzingatia umri na...
Wakuu,
Ni kwa kipindi cha kama miezi zaidi ya minne sasa tangu nimenunua hii simu yangu ya mkononi na tangia hapo nimekuwa ninasurf mtandao wa JF kama kawaida na speed nzuri kabisa. Cha ajabu...
Ni wiki tatu sasa zimepita,nimeshindwa ku unlock facebook a/c yangu ambayo ilifungwa mara baada tu ya mimi kudownload opera mini mpya na kuireplace na ya zamani niliyokuwanayo. Nilipojaribu...
Wanajf,
nimeibiwa laptop yangu juzi usiku. Taarifa iko police ila wanashughulikia taratibu wakati kila kitu kiko wazi mpaka namba ya simu ya mwizi ambapo anataka nimtumie laki 5 ktk tigo pesa...
Wakuu ninataka kutengeneza bootable usb flash na sina tatizo na proccess yake, isipokuwa mkononi ninayo windows7 installation disck tatizo ni jinsi gani nita copy mafaili ya windows7 kutoka kwenye...
Wana jf habari zenu,nina moderm ya sasatel ni zile ambazo hauweki line(in built line),sasa nahitaji kuiunlock ili nitumie line zote,wanaziita cdmi(kuna mtaalam kaniambia jina hilo) nifanyaje wakuu.
Nina laptop aina ya hp compaq mini 110c-1120ei sim card inbuilt modem na nimagundua ina sehemu ya kuweka sim card but bado sijaelewa how to use it or what kind of programs/driver should I have in...