Google Tanzania balaa..

Google Tanzania balaa..

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Najaribu ku google nipate picha za mafuriko jijini Dar Es Salaam, naingiza neno "Picha za......" kudadadeki, mambo iliyoniletea imenifanya niachane kabisa na hiyo kitu kwa kuzingatia umri na heshima zangu..sitaki tena!!! upuuzi mtupu!!
 
AIseee yaani hizi ndio keyword zinazohusina na neno picha watu wanazotafuta mtandaoni. Lol hapo ndio uatna hata Hiyo fiber optic ikifika mpaka vijijini bado matumzi ya ICT kwetu watanzania wengi hajajawa ya Tija na faida kubwa

Picha za uc**
Picha za kut*********na
Picha za K*** na Mb**
Picha za mat****
Picha za utupu

Kuna haja ya kuwajulisha google hayo maneno wayapungizie ranks. Lakini nani wa kufanya hivyo?

Sababu hata ukigoogle image of va hupati vagin* au uki google images of pen** hupati kile kiungo cha wanaume na kama unapata rank zake ni ndogo sana

Asnate sana
 
haswa mkuu, kwa kiswahili hakuna censor kama ilivyo kwa maneno ya kiingereza
 
haswa mkuu, kwa kiswahili hakuna censor kama ilivyo kwa maneno ya kiingereza

Unajua wenyewe siyo lugha yao. Wahusika wizara ya utamaduni, au kwa kushiikiana na wizara ya sayaansi na teknolojia kama kweli wana mwamko na mambo ya teknolojia ya ICT walikuwa wanatakiwa kuwa na vitego vya za google kwenye department zao za ICT .lakini tuko kisiasa zaidi

Niliwai kuandika kuwa hata wizara ya ardhi inatakiwa kuwa kitengo na waajiriwa rasmi ambo kazi yao itakuwa ni kuchei vitu kama gogle map kuhakikishisha na kuhrakisha uingizai wa detail za mikoa, wilaya na vijiji vyote vinaigizwa kwenye google. Sio wanaaa na ramani makabitini. Sasa hivi uiangalia googlempa hata dar ni mtaa ya posta na bara bara kuu chache tu ndiio zina majina. Mitaa yetu na maeneo ya kinondoni, mbezi, kimara mbagala hakuna majina

Yaani hata wizara ya utalii iitakiwa kuwa na mtu au watu wa gooogle. Lakini hawalioni hilo sababu tuko kisiasa. Nilisoma mahali Meya wa jiji wa rio de jenairo brazil aliwajia juu google baada ya satelite zao kuchkuana unyesha maeneo ya uswazi na kuacha kunyesha maeneo mazuri.
Huyo meya anaysema ia bada ya siku mbili aikiingia ofisni lazima acheki google inaonyeshaje mji wake na detail gani zipo. Sasa waulize hawa mameya wetu hata wa dar mwanza na arusha.

Google ni driving force ya mambo mengi ikiwemo hata lugha
 
Back
Top Bottom