Msaada Wa Kuongeza Memory ya Simu Yangu

Msaada Wa Kuongeza Memory ya Simu Yangu

Wabogojo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
354
Reaction score
87
Wakuu,

Ni kwa kipindi cha kama miezi zaidi ya minne sasa tangu nimenunua hii simu yangu ya mkononi na tangia hapo nimekuwa ninasurf mtandao wa JF kama kawaida na speed nzuri kabisa. Cha ajabu tangu last week end nashindwa kabisa kuingia humu jamvini kwani kila nikijaribu naambia "Error Insufficient memory",

Swali langu la msingi ni: Je nitawezaje kuongeza memory ya simu yangu ili niweze kuifungua JF?
 
jaribu kuiUpgrage operamini kama unatumia kubrowse jf..
 
au mkuu itabidi ufute vitu ambavyo ni unnecessary kwenye simu yako..
 
subiri wataalam watakuja lakini mi nakushauri tumia operamini
 
kama ya kichina usisumbuke kwishney.. Bt kama ni orijino delete unnecessary issues kama games and other applications from the phone memory and nt memory card.
 
Simu ya Samsung original, nimejaribu kudelete most of the unnecessary items lakini bado sijafanikiwa
 
Jaribu ku clear cache, cookies na history kwenye browser unayotumia
 
Simu ya Samsung original, nimejaribu kudelete most of the unnecessary items lakini bado sijafanikiwa
Umekumbuka kudelete na yale mambo yetu yale maana yana kula space kchz (jokn) 😛oa
 
Jaribu ku clear cache, cookies na history kwenye browser unayotumia

Ahsante YEYE, kweli JF ni kiboko hatimaye sasa ninweza kwenda sambamba na JF kama kawa kupitia samsung yangu.
 
Back
Top Bottom