Kuna ukweli khs incoming call & * au altenativ yake!

Kuna ukweli khs incoming call & * au altenativ yake!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Kuna habari kuwa ukipigiwa simu ukapress * mpigaji atashindwa kukata hiyo cm je ni kweli? au njia inayoweza kumzuia mtu kukata simu ni ipi?
 
huo niuongo tu wawatu nilikshawahi sikia hata mie nkajaribu hakuna kitu ni story tu za vijiweni mkubwa
 
nimeona niulize kwa yeyote aliyejarib na mwenye experience na hili swala ili napate kujua!

Sasa si ujaribu. Kwani kazi kubwa hiyo. Acha uvivu. Mbona issue ndogo tu hiyo. Tumia akili mukichwa. Mambo mengine si ya kuuliza bana. You are a Great thinker bana.
 
Back
Top Bottom