Msaada bei ya betri ya laptop dell latitude d630..

Msaada bei ya betri ya laptop dell latitude d630..

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,293
Kwa anaefaham bei zake na zinapatikana wapi kwa hapa jijini..betri yangu ya sasa inakaa dk 5 tu inazma..
 
bei inaweza fika hadi laki na nusu, kwa posta tembelea maduka ya computer karibia yote utapata.
 
inategemea pia size gani ya betri e.g 4 cell, 6 cell etc
 
Yangu ilikuwa inasumbua last month, nikaenda kwa dealer akanambia nimpe US $ 100 aniagizie(kama tshs170,000). Baada ya wiki 2 niliipata...
Labda kwa huko Dar zinapatikana moja kwa moja dukani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom