Msaada jinsi ya ku-unlock facebook a/c

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Ni wiki tatu sasa zimepita,nimeshindwa ku unlock facebook a/c yangu ambayo ilifungwa mara baada tu ya mimi kudownload opera mini mpya na kuireplace na ya zamani niliyokuwanayo. Nilipojaribu kutumia hiyo mpya,ikaanza kuniambia "you are using an old password" nikajaribu kutengeneza mpya lakini hamna kitu,hadi sasa inaniambia " your account is tempory unavailable,try to login into your computer and follow the steps" lakini mi natumia simu yangu kupata huduma ya internet,je nifanyeje ili niweze kulogin tena? Naombeni msaada wenu hapa tafadhali.
Asante.
 
Nenda kwenye komputa fuata maelekezo ulioambiwa. Huenda ukaweza ku login na kutengeneza(reset) password mpya. Hii haimaanishi kuwa utahitaji kulogin kwenye facebook kwa kutumia komputa, hata simu yako itatumika. Tatizo ni kuwa kwenye simu tuna access mobile facebook na sio desktop version. Kwa hiyo kuna mambo ambayo huwezi kufanya kwenye mobile. Kwa hiyo nenda hata kwenye internet cafe.
 
dawa nikwenda kwenye pc kama walivyokuambia ndio utaweza recover account yako
 
Tatizo lako ni dogo sana. Wewew fuata maelekezo uliyopewa na uataendelea kutumia facebook kama kawaida. Kama acc yako ingekuwa disabled basi hilo lingekuwa suala jingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom