msaada kucopy win7 dvd to iso image in pc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kucopy win7 dvd to iso image in pc

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mayu, Dec 19, 2011.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wakuu ninataka kutengeneza bootable usb flash na sina tatizo na proccess yake, isipokuwa mkononi ninayo windows7 installation disck tatizo ni jinsi gani nita copy mafaili ya windows7 kutoka kwenye dvd na kuya copy kuwa iso image kwenye hhd ili sasa niweze kuendelea na zoezi.
  Maelezo yanataka nidownload iso image ya wn7 lakini mimi najiuliza haiwezekani kucopy kwenye dvd na kisha kufanya iso image?
  Downloading na speed ya huku nuliko naweza kunichukua wiki kadhaa
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mwanamayu:

  Google is Simple:

  Google
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  tafuta na tumia application kama nero Kuburn hiyo dvd ya windows 7 ili utengeneze image(iso) file yake .

  Kama una winrar nadhani pia inaweza kukuwezesha kutengeza iso(image) file from CD/DVD

  otherwise jaribu kucheki hizi app

  http://www.voiceable.org/top-image-file-creator-burning-tools-windows.html
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Yaani mpaka leo watu mnaipenda Win7? jaribu kuweka hiyo Bootable CD, Then ifungue kama CD ya kawaida unavyoifungua then ukopi files zote, itakubali ila sina uhakika kama Win7 unaweza kuiboot kwa USB FLASH, Ubuntu linux 11.10 ndio nilijaribu ikakubali.But jaribu tu,may be itakubali. ILA NJIA RAHISI NI KUWA NA BURNING SOFTWARE, THEN COPY DISC AND BURN. Mf nero unaweza kuiweka IMAGE DISK then uselect COPY AND BURN. Itafanya coping na kuiburn hiyo instalation disk.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Zing:

  Nero - Inaweza
  WinRAR - haiwezi (for Compression Of Files kama WinZip)
   
 6. M

  Mayu JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Thanx a lot wakubwa ngoja niingie mitamboni then I will come back for feedback
   
 7. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  aksante mkuu nadhanahni kuna kitu nimechanganya kwa maelezo yangu hapo juu kuhuus winrar .

  Laini note pia winrar ni zaidi ya compression of file .Inaweza kutumika hata ku extract image(iso)file
   
 8. ropam

  ropam Senior Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu mimi ninayo software (powerISO) inayoweza kukuwezesha ku-copy disk image kwenye format zozote kati hizi .iso file, .bin file na .daa file ila tatizo cjajua nai-upload vip hapa kwenye hii page! lakini nafikiri ni free online...http://www.poweriso.com/download.htm jaribu ku-download from that link!
   
Loading...