Ni software gani nzuri ya kuflash modem zte???.

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
475
Reaction score
101
Wadau nahitaji msaada, ni software gani nzuri ambayo naweza kutumia kuflash modem ya zte na kuoverwrite software, kutoa iliyopo na kuweka nyingine.?
 
Mkuu taja full details za modem yako utasaidiwa.kusema tu
zte haitoshi
Vinginevyo nenda kwenye search box ya jamiiforums na search how to unlock manufacturer, aina na namba ya modem yako.
Utakutana na solution za kumwaga
 
software yake inaleta error wakati wa kuconnect, ras error 635 nafikiria ni namna gani naweza kuibadili niweke nyingine,dashboard software inainstall vizuri na inafunguka.
 
Mkuu unatakiwa kwanza install dashboard ya hiyo modem kama kawaida, na baada ya hapo exit halafu ndio install hiyo join air..
Je umefanya hivyo mkuu?
 
ndio mkuu,join air nimeweka nikijaribu kuconnect inaniambia connect failed!
 
try safaricom zte dashboard
Windows.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download
 
ansante mkuu,ngoja nicheck. nitakuupdate , nilikuwa namaanisha, kufuta setups ya modem iliyopo ndani kwenye device Rom, na autorun files zake niweke nyingine ambayo itakuwa inafanya kaz.
 
ukifuta dashboard utapoteza drivers. but you may try and post results. happy landing!!!!!!!!!!
 
Join air naiaminia sana ila wht to do ni ku exit software ya modem ili ibaki active join air pekee! I believe join air haina tatizo ila hau exit modem s/w ndo maana j. Air inakuzngua.
 
nimeshajaribu kama unavosema signals zinaonekana kwenye join air ila ndo inafail kuconnect
 
ukifuta dashboard utapoteza drivers. but you may try and post results. happy landing!!!!!!!!!!

inamaana kwamba reprogramming ya flash haiwezekani,yaani ureplace firmware iliyopo ndani uweke nyingine kabisa ambayo itakuwa inadetect ukichomeka.
 
Kamchezo ka hatari hako kaka unaweza kuiua kabisa modem yako.
Jaribu kwenda kwenye prefference na setting kwenye join air jaribu kucheki labda kuna setting haziko sawa, labda umeweka iconnect na 3g tu kama ulipo haipo itagoma nk.
Pia jaribu ku unistall kisha install tena join air
 
imekubali, asanteni.
 
Wadau nahitaji msaada, ni software gani nzuri ambayo naweza kutumia kuflash modem ya zte na kuoverwrite software, kutoa iliyopo na kuweka nyingine.?
Kwa ZTE zile za vodafone au?! Kama jibu ndiyo tumia join air kama default software ya kufungulia hiyo modem then nyingine inayokuja na modem fanya kuitoa.
 
nilishafanikiwa kwa kutumia software ya join air,asante mkuu.
 
Back
Top Bottom