spb tv haioneshi ligi ya uingereza na ukiwa tanzania huwezi kuona ligi ya uingereza kwa simu maana sisi hatujapewa haki. Kuna kitu kinaitwa proxy inabidi kwanza ujichange kama hutoki tanzania mfano ukitumia proxy za uingereza unaweza kuangalia bbc iplayer.
Jaribu tv hizi espn mobile, gotv america, aljazeera sport unaweza fanikiwa