Je kuna madhara unapotumia charger za Kariakoo kwenye simu Original?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Nilisahau mahali charger yangu ya Samsung. Nimenunua ya kichina juzi inafanya kazi ila baada ya muda simu inazima. Unapodhani imejaa unachomoa charger ukiwasha simu bar hazijajaa! Nilipokuwa na charger original ilikuwa inafika siku 5 sijachaji simu.Sasa hivi kila siku 2 nachaji!
 
Hata Nokia niliyo nayo.. Kuchaji kila siku! Hata yenyewe charger yake ni ya Uhuru na Msimbazi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom