Used Switch n Router | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Used Switch n Router

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kaygeezo, Aug 5, 2011.

 1. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta used 2811 Router 2950/3550 Switch.
  Wapi nitapata tanzania hii?
  (nina option ya kunua ebay - mwenye experience na ununuzi ebay naomba hints)
  Nawakilisha.
   
 2. t

  tononeka Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unanunua bei gani?
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  used?
  kwanini ununue used?
  wabongo bana,switch mpya mbona bei rahisi sana approx25,000/=
  sasa unataka used ili ununue elf2000 au?
  na utafanyia nini hiyo ilochoka au unataka kwa ajili ya kutunza tu
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, Sisco switch au router gani hiyo inayouzwa shs. 25,000/=?? Au siku hizi wameanza kutengeneza za ukutani kwa ajili ya kuwashia bulb??!!

  Mkuu hapo juu anaongelea vifaa vya dola 500 na kwenda juu!!!
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, kama unaweza tupatie link ya hiyo ebay channel kwa anayeuza ili tuiangalie kama ni muuzaji wa kuaminika, thanks!
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ebay kama unatumia malipo kwa njia ya paypal ni bomba zaidi. lakini tatizo sio supplier wote wanakubali wateja wa huku africa.. Hicho ndio kinaweza kuwa kikwazo..

  Na unaweza kusoma customer review za wateja walionunua bidhaa utoka kwa huyo supplier unayenunua kujirizisha zaidi . lakini paypal ni assurance tosha kuwa hutaliwa pesa zako bure. kama alivyokushauri steve Diii toa link wamtathmini huyo supplier.
   
 7. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona supplies wa kuleta Tanzania ,na bei zao ni nzuri wengine nimeshaongea nao. Sema nipo interested sana kama naweza kupata hapa TZ. Bahati mbaya sina specifi link ,lakini nimecheki wawili watatu ,ndio maana nikasema wacha nije jamvini kwanza watu wanipe mwongozo :)
   
 8. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni PM kama unazo au unafahamu wapi unaweza pata tufanye deal
   
 9. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Nyie angaikeni na malipo ya online weeee. wakisha tuma kwa standard Air mail kitu kinaibiwa ofisi za posta...unapata makaratasi tu na mzigo huoni ukiwasiliana na seller anasema ametuma lol!!! Tafuta mtu binafsi anaenda nje mara kwa mara umuagize akanunulie ebay lakini akiwa kule hapa utaliwa bure..Tena usinikumbushe machungu achana na Ebay kwa bongo. itachakachuliwa ikifika tu
   
 10. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh!
  kazi kweli kweli
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu ni sawa kabisa kwa unayoyasema, utapeli wa kutumiwa vitu feki au kuibiwa hapa hapa posta unatokea mara nyingi, haswa kwenye ebay na hiyo ni popote pale duniani ebay wanapo operate. Walau Amazon wana uafadhali kidogo. Hata hivyo, kama tulivyo mwomba, atupatie link ya pahala alipopatia hivyo kitu, kisha kila mmoja wetu atadadisi aina ya muuzaji anayemwongelea. Lakini pia, mtu yeyote hapa JF anaweza kuwasiliana naye kuhusiana na hivyo vifaa na namna anavyoweza kuvituma hapa Tz. Muuzaji kama ni muungwana na kwasababu ni vifaa vya gharama kubwa, anaweza kutumia secure postage kama EMS, DHL au nyingineyo kwa kukubaliana na mnunuaji kulipa hela zaidi kidogo na kuongezea uhakika wa vifaa kumfikia.

  Kutuma mtu is okay, but in similar manners mtu anaweza kukuzima kwa kutaja sababu mbalimbali... kuibiwa, kupoteza n.k. Lakini kama una ongea na mtu kabla ya kutuma kwenye ebay, pia kama mtu anaonekana ana rating nzuri, na wewe kuwa ni member wa muda mrefu kidogo; mawasiliano yenu yanatunzwa na kuwa evidence ya kupewa refund kama vitu vyako vinapotea au kama unauziwa kanyaboya. As long as policy ya ebay inaruhusu refund ya manunuzi na kiwango cha gharama au aina ya kitu hicho kutoka hapa Tz.
   
 12. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Link hiz hapa;
  Cisco WS-C3550-24-SMI with L-3 EMI Image 3550 SWITCH | eBay
  Cisco Catalyst 3550 48 Port Switch, WS-C3550-48-SMI | eBay

  routers
  Cisco 2811 Integrated Services Router Cisco2811 tm | eBay
  CISCO 2811 256D/12F SERVICE ROUTER W/ NM-CE-BP MODULE | eBay
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Poa sana. Sellers wote katika link wako okay. Ila switch kati ya hao wawili nunua kutoka link ya pili. Router, yeyote anafaa, wa pili anafaa zaidi!

  Hakikisha unaandikiana nao tu kuhusiana na shipment, fanya hivyo via communication means zilizopo ndani ya ebay na si nje ili ku-preserve mawasiliano. Uzuri products zote ziko listed na payment protection. Hivyo kuna usalama mkubwa wa kupokea vifaa utakavyonunua.

  Good luck!!!
   
 14. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks
  Steve,Ngoja nisubirie say mpaka Tuesday hivi ,nikikose hapa hapa ,will go for ebay....japo nna kauoga kidogo(sijawahi fanya transactions online)..:(
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  USiwe na uwoga. Huyo supplier aliyekwambia Steve ukisoma kwenye delivery yake kama sikosei anatumia UPS. Hapa bongo Switch ya CISCO used sana sana unaweza kuuziwa za wizi. wich is more risky. Nakumbuka zamani wakati AP za breezecom zlikuwa bei ghali kuna jamaa walikuwa wanaiba alafu wanaziuza kwa watu wa internet. But anyway endelea kucheki cheki
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kila jambo lina chanzo... Kwa vile unasubiria kwanza kupata hapa hapa Bongo, kama step ya kwanza, ungefanya kuagiza kitu cha bei nafuu tu kwanza kwenye ebay ili kufungua account nao (hata kama unapata hapa hapa). Agiza kitu kama cha dola 10 hivi, nakusikilizia process yote mpaka unapata. Kwa kusema utaagiza online, natumaii utakuwa na access ya credit card aina fulani hivi au tayari una account ya Paypal. Kama huna account ya paypal lakini una credit card, fanya hima ku-order kitu ili kila kitu kiwe activated under your name na kufanya account iwe active. Mtazamaji kashauri hapo juu kuhusu Paypal, ni kweli ni muhimu na ni njia salama zaidi kununua vitu online, especially via eBay maana ni ya kwao. Hata hivyo kama inatokea huna credit card wala paypal account, basi itakupasa uongee na mtu unayemjua hapahapa Bongo mwenye access na hizo facilities ili akuagizie kwa niaba yako. Well, hope utapata locally. Good luck!!
   
 17. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Na wakati unasuribi kama hutajali naomba nikuulize .
  • Kwa nini hasa unataka CISCO router switch hiyo na sio brand zingine. mfano D- link au Netgear
  • Hiyo router unayotaka ina 48 ports. je itakapotumika hizo ports zote zitatumika ? I meana kwa nini usitafute za 24 ports au 12 ports ?
   
 18. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #18
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali zuri Mtazamaji,
  Why Cisco?- Most Dlinks and NetGear are not Manageable ,ila kikubwa zaidi I want to open a cisco LAB..so i need cisco devices.
  24 ports ni sawa tena 48 itakuwa super zote zitatumika....:)
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Dah, pole mkkuu; naona wamekutoa nje kabisa, hahahaaa
  Hiyo kitu Ebay bei YA CHN KABISA kabisa kama ni used inauzwa 340USD!!!!
   
 20. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #20
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani eeeh...switch nilipataga za deal hapa hapa...sasa nahitaji Router,2600 series itanitosha mwenye connection aje tufanye business fasta
   
Loading...