Msaada tafadhali,laptop imegoma ku logon.

Msaada tafadhali,laptop imegoma ku logon.

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
5,284
Reaction score
4,826
Habari wana jf
Naomba msaa wa kuondoa tatizo laptop imenigome. Nilikuwa nafanya installation ya antivirus ya avast nilipomaliza ilinitaka nireboot ili ifanye sytm scaning, niliclick ok lakini ikawa imestuck,nimejaribu kutoa betri niiboot upya imegoma, ikawa haiwaki wala haizimi.nikatoa tena betri nimekaa nusu saa nikairudisha nimeiwasha upya inaanza na window starting lakini haikamiliki kulogon ikifika kati inagoma na inaniletea hii message. LOGON PROCESS INITIALIZATION FAILURE. INTERACTIVE LOGON PROCESS INITIALIZATION HAS FAILED. PLEASE CONSULT THE EVENT LOG FOR MORE DELAILS..nikiclick OK inagoma inarud tena hiyo msg. Nifanyeje? Msaada please
 
unatumia window version ipi.kama ni XP jaribu ku repair hiyo window
 
Unatumia windows version gani?...either way, kama huwezi kuloggin kwenye system normaly then ingia kwenye system via SAFE MODE then restore your system to some points earlier before u installed the ant-virus...this should work!!!
NOTE: the restoration procedures depends on the version of your windows...thus tuambie version windows OS yako for detailed assistance
 
kabla ya kufanya lolote jaribu kufanya yafuatayo. Washa computer na upress F8 key hadi uone windows startup options imetokea then select last known good configuration halafu ujaribu kulog on tena. Ikikataa then restart halafu upress F8 key kabla windows haijaload ili kuona menu ya windows start up options. ukifika hapo select safe mode halafu ujaribu kulog on tena. Ikikkubali fanya system restore ili kuweza kurestore computer yako to an earlier time
 
Back
Top Bottom