wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 252
Jamani wananchi nimepata bonge la software ambayo inaweza kufuta na kubadilisha password ya windows yoyote...and can be downloaded for free!!..
chakufanya download hilo file ambalo ni file la ISO kutoka kwenye link hapo chini...kisha tumia burning software yoyote kuburn image hiyo kwenye empty CD then ikishamaliza ingiza hiyo CD kwenye hiyo computer yenye password halafu fuata maelekezo..Believe me it works...kudownload hilo file goto :Free Windows Password Resetting Tool for free download and its direct no Torrents or File sharing sites such as rapidshare...:biggrin: