Msaada juu ya soko la hii kozi Statistical Packages for Social Scientist(SPSS)

Inahusiana na databases,kwenye
makampuni inatumika kuhifadhi, statistical data eg surveys,au company details,.ni nzuri.,kwa ada sifahamu,nilifundishwa wakati nafanya kazi bonite bottlers,walimu walitoka udsm.
 
Ni nzuri sana kwa ajili ya mambo ya utafiti wanaoijua kuitumia ni wachache na watu wa masoko wengi hawajui kutumia takwimu ,ukiisoma utaweza hata kuandika ripoti ni course nzuri pia inabidi uwe karibu na makampuni ya utafiti
 
Inahusiana na databases,kwenye
makampuni inatumika kuhifadhi, statistical data eg surveys,au company details,.ni nzuri.,kwa ada sifahamu,nilifundishwa wakati nafanya kazi bonite bottlers,walimu walitoka udsm.

Inachukua muda gani,mkuu?
 
Inachukua muda gani,mkuu?

tembele a ucc(university computing centre) mkuu,
1.waweza google ukaona website yao. (ucc mlimani).
2.ada ni 155000 kwa weekend course na 300000 kwa weekdays.
3.muda ni miezi mitano.
Soma u wont regret ni hayo tu
 
Back
Top Bottom