msaada kuunganisha bird w5000 kwa internet

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
wana jf naomba msaada wa kuunganisha simu yangu, niliponunua simu hii nimeikuta ikiwa na opera 4 ambayo naitumia kuingia kwenye mtandao, ss shida niliyonayo ni pale ninapotaka kudownload kitu inaniambia ni stop java application option ni yes au no nikikubali inastop java na inakuja ile symbol ya google inaanza kuserch kwa muda mrefu kisha inaleta msg "connection failed" na unakuwa ndo mwisho kifupi siwezi kud load, msaada please.
 
Mara nyingi ukitaka kudownload kitu kupitia opera mini inakawaida kuilink browser ya simu yako ifanye kazi hiyo ya kudownload, sasa kama hujafanyia configuration simu yako na browser hapo inakuwa utata.
Je simu yako uliingiza setting za internet kwa kutumiwa na SP au kuingiza manually?
Je browser original ya simu yako ukiifungua inaconnect vizuri na internet?
Kama opera mini ndio inadownload yenyewe basi kunatatizo la setting kwenye opera mini
 
browser ya cm yangu ukiachilia mbali opera haiwezi kuconnect nayo inahitaji manually configuration ambayo sina utaalamu nayo hivyo naomba msaada kwa anaejua
 
browser ya cm yangu ukiachilia mbali opera haiwezi kuconnect nayo inahitaji manually configuration ambayo sina utaalamu nayo hivyo naomba msaada kwa anaejua

Unatumia mtandao gani wataalamu watakuelekeza namna ya kutuma request au kuingiza manualy.
Je unapodownload inayodownload ni opera mini au inakupeleke kwenye browser ya simu?
Unatumia opera mini 4 au operamini 4 point something?
 
natumia airtel, na operamini 4, ninapotaka download inanipeleka kwenye browser ya simu ambayo hunitaka niistop java kwanza nikikubali itakwenda mwishoni ndio "connection field"
 
jaribu opera 6. Download kwenye computer kisha hamishia kwenye simu via usb. Opera 6.5 inaweza ku download yenyewe bila kupitia native browser
 
jaribu opera 6. Download kwenye computer kisha hamishia kwenye simu via usb. Opera 6.5 inaweza ku download yenyewe bila kupitia native browser

Upo sahihi mkuu, opera mini 4 ni yakizamani sana haiwezi kudownload yenyewe, jaribu opera mini 6 au hata 4 za kwenda mbele.
Simu yako sijui mpangilio wake ukoje lakini jaribu kuwa mtundu kwa kwenda settings na kujaribu kutafuta sehemu za kuingiza manually setting(search hapa JF kuna sredi kibao za kufanya manually configuration za internet), jaribu ku google kwa sana.
 
i still need help cm yangu haiwezi kuinstall program yoyote hata hiyo opera6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom