Vipi hili la kuchaji simu kupitia mtandao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi hili la kuchaji simu kupitia mtandao?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Elai, Dec 30, 2011.

 1. E

  Elai Senior Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka fulani, uongozi wa vodacom uliwahi kuahidi kuwa, ndani ya mwaka uliokuwa ukikaribishwa wangekuja na huduma mpya ya kuchaji simu kupitia mtandao. Kwa walioisikia mnaikumbuka hii taarifa.Kwa anayefahamu, suala hili liliishia wapi? Je, tuamini kuwa ilikuwa ni siasa maana Tanzania yetu imeingiliwa na siasa katika kila nyanja?
   
Loading...