how to change from limited account to administrator account.

how to change from limited account to administrator account.

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Habari wakuu,
Tafadhali kama yupo mtu anaulewa juu ya kubadili hizo ac hapo juu naomba msaada maana kuna mambo mengi nashidwa kufanya kama yupo please naomba msaada natumia windows xp.
 
Nenda kwenye contro panel then ingia kwenye user account...click account unayotaka kubadili, utaona option mbili katika row moja (limited na administrator)....hamisha hiyo radio bullet from limited to administrator
NOTE: lazima uwe ume-loggin kama administrator ndo utaweza kubadili hizo previlleges unless otherwise account ya admin iwe inactive
 
Swala hilo linawezekana ila ina process tofauti tofauti ila kabla sijakupa maelekezo ningependa kujua unatumia windows aina gani? Na je hiyo computer ni ya kwako au ya ofisini? na je hiyo computer imekuwa configured with domain account? na je kuna account nyingine katika hiyo computer tofauti na ya kwako?
 
kaka natumia windows xp computer ni ya kwangu ila hiyo domain account sijakupata fresh na pia kuna account nyingine katika computer yangu hope kwamba utanisaidia.
 
Back
Top Bottom