Software

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Habari za asubuhi wanajf.
Waungwana, naweza pata soft ware ya kuhifadhi mafile ya aina mbalimbali ktk mfumo mzuri na easily accessed and managed.
 
mafaili kivipi? File explorer ya OS yako haitoshi?
 
Habari za asubuhi wanajf.
Waungwana, naweza pata soft ware ya kuhifadhi mafile ya aina mbalimbali ktk mfumo mzuri na easily accessed and managed.
Hebu weka vizuri swali lako au ulikuwa unatafuta ya kufungia mwaka..........lol
 
Sidhani kama kuna software ya kusaidia kupanga mafile kwa sababu wewe ndo unayetakiwa kupanga mafile na sio software kukupangia. Embu fikiria hili, kama software ndo ingekuwa inapanga mafile unafikiri ingewezaje kufanya hilo kama yenyewe haijui wewe unahitaji mafile yako yapangwe vipi. Cha msingi hapa cha kufanya ni kutafuta mtaalamu wa computer ambaye anaweza kukusaidia kupanga mafile yako kulingana na wewe unavyotaka yapangwe
 
Back
Top Bottom