Msaada msaada msaada jamani!

Msaada msaada msaada jamani!

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,255
Reaction score
10,504
Laptop inawaka lakini kwenye screen zile shortcut hazionekani. Hakuna icon hata mmoja. Sioni namna yoyote ya kuweza kuaccess folders zangu. Nifanyeje jamani? Nimezima nakuwasha kama mara 70 ila ipo vile vile. Nisaidieni mwenzenu nina kazi ya kutype sahivi. Ahsante.
 
hahahaaa webatwa! Fuata proc hii:
1. Press Ctrl+Alt+Del
2. Seletect: task Manager
3. Ktk menu za task manager kuna moja ina option ya run task or something like that
4. Likija box baada ya kuchagua na 3, type command hii--> explorer
usisahau kusema ulakozye chane!
 
hahahaaa webatwa! Fuata proc hii:
1. Press Ctrl+Alt+Del
2. Seletect: task Manager
3. Ktk menu za task manager kuna moja ina option ya run task or something like that
4. Likija box baada ya kuchagua na 3, type command hii--> explorer
usisahau kusema ulakozye chane!

ahsante, kuna mtu nae alinipa maelekezo kama yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom