technology makes money

technology makes money

Bingley

Senior Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
103
Reaction score
9
wanna make some cash? Kuna website ambayo inakuwezesha kumake money online. Iko kama facebook flani ila a bit different. Unachotakiwa kufanya ni kupata 100 points tu na utalipwa 120 $(usd). Nimeikuta kwenye net nikaona nishee na nyinyi.
Inaitwa www.bonglob.com
try it out pips...
 
explain how do you get points and more how do THEY make money which they in turn pay YOU!
 
Upuuuzi mtupu wajinga ndo waliwao nshawai jaribu hiyo kitu 2008 hamna kitu
 
explain how do you get points and more how do THEY make money which they in turn pay YOU!

wanasema kuwa unapolog in kwenye account yako, unapata point 1, unapo post comment unapata point 1, unapomuinvite m2 unapata point 1, nk. Ila wanasema usipolog in kwa siku moja unapunguziwa point 1, so ni lazima ulog in daily..
 
Upuuuzi mtupu wajinga ndo waliwao nshawai jaribu hiyo kitu 2008 hamna kitu

hii ni genuine mkuu. Hata mm nilikuwa nadoubt lakini nikajaribu kuwa mdadisi na nikaona kuwa iko true. Jaribuni muone maana imeanzishwa Dec na mm mpaka ss hv nina points 25
 
hii ni genuine mkuu. Hata mm nilikuwa nadoubt lakini nikajaribu kuwa mdadisi na nikaona kuwa iko true. Jaribuni muone maana imeanzishwa Dec na mm mpaka ss hv nina points 25

Ushaaanza Usanii. kama wewe ndiye mwenyewe basi kajipange upya . Sema una Point 25 toka feb 2011

Domain Name: BONGLOB.COM Created on: 17-Feb-11 Expires on: 17-Feb-13 Last Updated on: 08-Sep-11

detail zaidi bonglob.com WHOIS domain registration information from Network Solutions
 
Ushaaanza Usanii. kama wewe ndiye mwenyewe basi kajipange upya . Sema una Point 25 toka feb 2011

hii siyo yangu, mm siwezi hata kutengeneza blogspot. Ni watu wengi wameniambia kuhusu hii ishu na mm ndio nikaona niwape habari humu ndani. Waliniambia kuwa imeanza rasmi(officially) 1st Dec 2011. Na mm nilijiunga tarehe kumi na.. baada ya kuambiwa.
Na bado nipo kwenye harakati za kuzitafuta hizo points 100. Kwani inaonekana ni ya uwongo au ndio hivyo hamuamini mpaka muone mtu kapata cash mkononi?
 
ngoja wewe uwe case study!
 
Back
Top Bottom