Unlocking Tigo Modems

Cowboy

Member
Sep 23, 2010
27
2
Does anyone has any idea on how to unlock tiGo modems nowadays?
Nlikuwa naweza kuzi-unlock zamani lakina sikuhizi hata ukiweka line nyingine, ile box kwa ajili ya kuingiza unlock code haiji; au ukitumia program ya Code Writer, inakuambia "error"
 
Muwe mnachukua muda wenu kutafuta kwanza post za zamani kuona kama jambo lilishajadiliwa au la kabla ya kuuliza misaada.
Jambo hili la kuchakachua tigo modems za huawei limezungumzwa sana hapa kwenye jukwaa hili na maelekezo yametolewa sana. Sasa kila mmoja akiingia JF na kuja na swali hili hili huoni hatutajadili mambo mengine?
Nakushauri ufanye homework yako maana kuna thread nyingi sana zimezungumzia ombi lako.
Asante kwa kunielewa.
 
Does anyone has any idea on how to unlock tiGo modems nowadays?
Nlikuwa naweza kuzi-unlock zamani lakina sikuhizi hata ukiweka line nyingine, ile box kwa ajili ya kuingiza unlock code haiji; au ukitumia program ya Code Writer, inakuambia "error"
Yah mkuu hzo ni customized firmware na haziwezwi kuwa unlocked that way.. kuna njia ya kutemporary unlock them hio njia ndo nayojua na yes

utaweza kutumia mitandao mingine but only temporarily.. how au jinsi unaweza kuziunlock temporary tembelea hii post HAPA lakini pia nimesikia

kuwa kuna member ameweza kuziunlock permanenltly kabisa anaitwa calvin power jaribu kuwasiliana nae lakini amesema unatakiwa kulipia baadhi

ya service ili uweze kuiunlock mtafute au m pm kwenye profile yake HAPA

GUD LUCK MKUU!!!
 
Zamani ni kweli kuwa mtu alikuwa anaweza kuzi-unlock tigo moderms lakini kwa sasa HAIWEZEKANI kabisa kwani kama unakumbumbuka uuzwaji wa hizi moderms ulisimamishwa ni kutokana na hilo tatizo,then zikawa updated kiasi kwamba you cannot unlock them in any way.
 
Yes, am very aware of that but I,ve tried all those other ways and I think it I'd have been very helpful if you'd had directed me to that Post!
 
Inawezeka kama mtanitafuta niko arusha karibu na mskiti wa ijumaa. Garama elfu 15 @ 1 ya tgo 153 na safaricom 173
 
Back
Top Bottom