Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu 21st Jan. CAN ndani ya nyumba, vipi kuna mwenye idea ni channel gani ya hapa nyumbani itakayoonecha mechi zote.Hapa nililipo ni siku nne sasa sipati Star tv kwenye dish, karibu mwezi sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hey wajeda hamjambo?? Trick mpya hii ya kupata credit za skype zenye thamani ya euro 1 unachotakiwa kuwa nacho ni computer na internet halafu fata process hizi KWANZA: nenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wataalamu, jioni hii nimenagusha simu yangu Blackberry 8520 ikatoka battery, baada ya kuweka battery na kusubiri kwa muda simu haikuwaka badala yake ikaja screen nyeupe na message isemayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo asubuhi nimepokea email ambayo I'm pretty sure ni spam(+ilikuwa kwenye spam folder). Email yenyewe hii hapa: Hello My Dearest One Hello this is Joy who contacted you before at...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dear friends, i need your help for PRODUCT KEY OF WINDOWS XP PROFESSIONAL SP3. My machine has stacked and running slow, it need updates.
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Jaman naomba msaada wa kupata web za kudownload muv na kuchek mpira live kwa net
0 Reactions
4 Replies
4K Views
naomba Msaada waungwana wa serial number za adobe illustrator cs4
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF wenzangu mambo vp?. Naombeni mnisaidie nitawezaje kuiblock simu yangu yenye serial no,xxxxxxxxx isitumike maana imeibiwa naona bora tukoswe wote tafadhali mwenye maujanja asisite kunisaidia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kuwa wajanja wa jukwaa hili muwazima. Niko naomba msaada/mwongozo wenu wa namna ya kumtrace anonymus anayekutumia email. Kuna kiumbe nimevumilia nimeshindwa, amekuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nna tablet ina os ya android v2:2. Nimejaribu ingia android market lakin games mbaya ndo free za ukweli unalipia jambo ambalo nashindwa coz sina jinsi ya kulipia kutokana na mfumo wa ulipiaj...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Buyer’s Guides to TV, DVD and Blu-Ray Players TV, DVD And Blu-Ray Players TV manufacturers have pulled out all the stops to bring that cinematic experience into your home. Expect stunning...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimedownload game na kuimount kwa ISO ila nikitaka kuinstall inanidai key nitazipata wapi ni fifa 2011
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Website ya UDSM imekuwa offline kwa muda. Ukicheki inakuambia "Account Suspended" japokuwa leo wameongeza hapo kaujumbe kuwa "The website has been temporarily put offline for maintenance purpose"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello friends, today i will share with you a collection of windows tweaks that will help you to achieve maximum system or PC speed. All want that their system will work as fast as possible so why...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
nataka ku unlock T-MOBILE 3G za kutokea US,apa tz azifanyi kaz adi unlock ukiweka line unaambiwa uingize network namba zipatazo 8,lakin US zilikuwa zinafanya kazi,msaada wa ndugu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
My dell above does not boot. It keeps yellow blinking. P/lse can any one help
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimenunua modem ya airtel, na nime install.Tatizo linakuja ninapo connect inaniambia "pick up the handset and dial (or ask the operator to dial). Press ok immediately after dialing,then replace...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
salaam, jamani naombeni msaada kwani kuna mtu anatumia jina langu kwnye facebook akijifanya ni mimi.sijajua lengo lake bado.sina utaalamu sana na mambo ya facebook je nifanyaje ili asiendelee...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Voda wana aina mbili za modem moja wanauza 25000 na nyingine ni 35000 Ni nn utofauti wake. Nataka kununua watalam naomba ushauri wenu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu ninaamini mnajua mengi zaidi ya ku unlock modem za zte na huawei.je na simu za zte na huawei nazo kuna ujanja? Au mpaka flash tools.KARIBUNI
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…