elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
nna tablet ina os ya android v2:2. Nimejaribu ingia android market lakin games mbaya ndo free za ukweli unalipia jambo ambalo nashindwa coz sina jinsi ya kulipia kutokana na mfumo wa ulipiaj.
Nimejaribu google ni kapata site flani inaotwa androidgamesroom.com ina games za ukweli nime download via comp lakini kila nkiziamishia kwenye comp na kufanya installatio mwishon naambia installation failed.
Nahisi labda si compatible na version yangu ya 2:2.
Sasa kama kuna mtu anayejua wapi naweza download naomba aniambie