Key za game torrent

Key za game torrent

Magoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
448
Reaction score
79
Nimedownload game na kuimount kwa ISO ila nikitaka kuinstall inanidai key nitazipata wapi ni fifa 2011
 
Nimedownload game na kuimount kwa ISO ila nikitaka kuinstall inanidai key nitazipata wapi ni fifa 2011

hizo keys huwa zinakuwepo ndani ya hiyo fifa uliyo imount. So open hiyo fifa2011 unaweza ona file limeandika serials au keys linalofunguka na notepad.lina keys hilo.kama hamna hapo then ingia kwenye main folder ambalo ndiyo linagame ambayo umeimount.kabla ya kumount hapo utaona file limeandikwa serials au keys
 
Unaweza tumia winrar pia ku extract hizo keys NB:ndani ya hiyo ISO image kuna kuwa na Crack ya game na serial keys.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom