pata vocha ya bure ya skype ya euro 1.02 kupiga kokote duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pata vocha ya bure ya skype ya euro 1.02 kupiga kokote duniani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Nov 5, 2011.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  hey wajeda hamjambo?? Trick mpya hii ya kupata credit za skype zenye thamani ya euro 1

  unachotakiwa kuwa nacho ni computer na internet halafu fata process hizi

  KWANZA: nenda http://hotspotshield.com/ kadownload vpn yao then install kwenye pc yako

  PILI: rudi hapa na uclick hii link ya kugenerate vocher ambayo ni hii http://skype.hotspotshield.com/banner.php
  halafu utaona msg inasema click uchukue vocha we utaclick then watakupa namba yavocha

  TATU: nenda skype.com log in na aacount yako halafu ingiza hio vocha

  Note: jinsi utavokua na computer nyingi ndo utavopata credit nyingi

  Haya wajeda wahini upesi kabla hazijaisha
   
 2. HT

  HT JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  installing virtual machines and install many machine might help you
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
Loading...