Zimebaki siku 10 tu jamani, vipi kuna mwenye fununu?` | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zimebaki siku 10 tu jamani, vipi kuna mwenye fununu?`

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mrimi, Jan 10, 2012.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu 21st Jan. CAN ndani ya nyumba, vipi kuna mwenye idea ni channel gani ya hapa nyumbani itakayoonecha mechi zote.Hapa nililipo ni siku nne sasa sipati Star tv kwenye dish, karibu mwezi sasa sipati CH10, ITV na wenzake hata sijui wamehamia wapi, au nao wameanzisha ving'amuzi vyao kimya kimya. Hapa nilipo nina TBC1 tu ambayo hadi sasa wanaonekana kutokuwa na interest kabisa na jambo hili.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Supa spoti, there now you know
   
 3. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  mimi star tv imepotea tangu jumapili itv long time ch10 ndio tulishasahau
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  hizo ulizozitaja ndo channel gani? mbona mimi sizijui? ni channel za wapi hizo?
   
 5. Bi. Kiroboto

  Bi. Kiroboto Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC1 walianza kwa kishindo, mara EPL, mara ving'amuzi, mara sijui nini, lakini siku hizi chaliiii..
  Wanarudiarudia kipindi kimoja mwezi mzima. Hata sioni thamani ya kodi zetu, yaani ni wizi mtupu.
   
 6. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu nijuavyo mimi Super Sport sio channel ya nyumbani, mbona tunafanyiana hivi?
  Mimi sina Dstv nyumbani, ndio maana nikauliza iwapo channel zetu za kibongo zitaonyesha.
   
 7. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  CAPITAL TV, ITV na EATV kweli walikuwa likizo, lakini mimi nimeanza kupata tangu juzi. Kwa hiyo hawajabadilisha chochote wapo. Hata ninavyoandika niko kuangalia channel 5. Labda cheki tena kama wamerudi.
   
 8. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Kweli tupu.Wakianza na 'Ziara yaJK nyerere nchini Burundi' wanabaki hapohapo kama wamenaswa umeme. Wanachosha!
   
 9. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 955
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Funga LNB ya KU_Band kwenye dish hilo ulilonalo kwenye 57degree utaipata KBC1 ya kenya inatangaza kuwa itarusha mechi zote LIVE
   
 10. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Exactly; i did the same & i do watch KBC1, for sure they w'll be LIVE for CAN, keep watching.
   
 11. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Exactly; i did the same & i do watch KBC1, for sure they w'll be LIVE for CAN, keep watching.
   
Loading...