Modem za voda zinatofautiana nn

Modem za voda zinatofautiana nn

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Voda wana aina mbili za modem moja wanauza 25000 na nyingine ni 35000
Ni nn utofauti wake.
Nataka kununua watalam naomba ushauri wenu
 
Nasikia moja unaweza kuitumia kama card reader, yaani inasehemu ya kuingiza memory card wakati nyingine haina.
Tafiti utajua
 
Back
Top Bottom