Msaada kuhusu airtel modem?

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Nimenunua modem ya airtel, na nime install.Tatizo linakuja ninapo connect inaniambia "pick up the handset and dial (or ask the operator to dial). Press ok immediately after dialing,then replace the handset. Phone number: *99# " Naomba msaada wa kutatua tatizo hili.
 
jaribu ku uninstall kisha install tena tumia web browser kama google chrome ila isiwe explorer
 
jaribu ku uninstall kisha install tena tumia web browser kama google chrome ila isiwe explorer

Nimejaribu mara kadhaa lakini bado tatizo linaendelea. Hatua ya kutumia browser siwezi kuifikia kwani modem inagoma ku connect kwenye mtandao.
 
Pole, hilo tatizo na mm lishanipata, wasiliana na airtel watakuwekea software nyingine, maana ZTE zinachagua comp sometime.otherwise inabid utafte huauwei ndo inakua a software ya moja kwa moja ambayo mara nyingi haichagui computor
 
Ninashukuru kwa ushauri, ninaufanyia kazi.
 
tatizo litakuwa kwenye sim card hiyo, kwani kila sim card inapokuwa mpya inakuwa haija activetiwa kweny internet na inazungua ku connect wasiliana na customer care 100 waiactivate
 
ZTE MF190 Zinasumua sana haa mimi nimenunua aina hii imenisumua sana kwenye XP hata call log hazina kwa wanaotarajia kununua modem hizi sio haa kudetect sim card ni issue
 
tatizo litakuwa kwenye sim card hiyo, kwani kila sim card inapokuwa mpya inakuwa haija activetiwa kweny internet na inazungua ku connect wasiliana na customer care 100 waiactivate

Nimejaribu kwenye PC nyingine inafanya kazi kwa simcard niliyonayo.
 
Back
Top Bottom