When I insert a any DVD into my Dvd player I receive a message that states "Windows Media cannot play DVD because a compatible DVD decoder is not installed on your computer"
I have Windows XP...
Please refer to the thread "Malipo mishahara dirishani" as a background to this request for ideas and solutions that can be availed to our esteemed government officials in eradicating the ghost...
Msaada wadau mwenye kujua AVCHD Activation Key ya Magix Movie Edit Pro 17 HD Plus, nashindwa kuingiza Video kutoka kwenye Camcorder yangu inayopiga muundo huo wa AVCHD.
Jamani.. Nimetumiwa zawadi ya simu hiyo hapo juu. Tatizo ni kwamba,access ya internet nimepata siku 3 tu za mwanzo kwa laini ya voda,halafu ikagoma.Hata ile alama ya 3G siipati. Nikaweka ya tiGO...
Wakubwa, binafsi ni mgeni kwenye jukwaa hili baada ya kupata utambulisho wa rafiki yangu ambaye ni mchangiaji mzuri wa jukwaa hili(jina kapuni)
Sasa leo nakuja na hii tovuti Ughaibuni - Tovuti...
Nimenunua modem ya airtel, na nime install.Tatizo linakuja ninapo connect inaniambia "pick up the handset and dial (or ask the operator to dial). Press ok immediately after dialing,then replace...
Time wacher (tiwa 5.11) version hiyo nnatumia lakin nme install admn na client nkizilink zinafanya kazi vizuri cku nzima na admn ina control vizuri client kama wa tano ivi. Sasa tatizo nikizima...
Hello Friends Today I am going toshare one of the the Most Important Thing With You Guys i.e How tomake your System Almost Unhackable. Today I will Help you tomake Your PC stronger and secured...
habari wana jamvi,
naomba msaada wa ushauri wa kitaalamu kuhusu monitor yangu (sony multscan E400),kwani ghafla imeanza kupoteza rangi na ukiigonga inakaa sawa,yaani inarudi ktk rangi ya...
Salama, jamani ninapata tabu katika kuunganisha network ya Zantel pia na kujaza vocha kila nikiunganisha napata msg ifuatayo "Error 691: aceess was denied because the username and/or password was...
Waungwana naomba msaada wa license key ya spyware doctor 9.0.0.898. Pia kuna sehemu wanataka license name, natakiwa kuandika nini? (msaada jamani, jahazi linazama)
Wakuu naomba msaada wa kujua kitaalam mvua dar zilizosababisha mafuriko zilinyesha kwa kiwango gani.... nimetazama kwenye website ya TMA hakuna hizi data
Habari za jumapili wapendwa?nimenunua laptop procesor ni pentium na ni 32 bit os je kwa iyo itakuwa ina mapungufu gan ukilinganisha na za kisasa au naweza kubadilisha procesor?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.