Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu juz kat nilidownload programe ya NERO wakanipa trial ya siku 14,.sasa ime-expire natakiwa ninunue, naombeni mnijuze jinsi ya kuchakachua au nipate serial no. za kuinunua.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimenunua ibook G4 kutoka kwa mtu, Na nilikua nataka 1.kuifuta kila kitu katika mtindo wa kuformat,lakini sina Mac OS CD na wala sifahamu procedures to follow 2.Nikijaribu kuchomeka cd yoyote...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Wakuu habari zenu? Tafadhali naomba msaada wa ku-unlock T-Mobile HTC HD2. Nimeipata hii simu from us, ilishatumika lakini sifahamu last user alitumia service provider gani. Nimetembelea google...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimetelnet freeshell.org kwenye port 22,nimefanikiwa kulogini lakini nimeshinndwa kuendelea naomba msaada wa commands za kuchat kupitia ssh!:nerd:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi all JF MEMBERS I'm using a TOSHIBA Lap top running windows Vista Satellite, to connect I use a 3 mobile broadband dongle, the connection is fine and works well, however before it connects I am...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimefanya yafuatayo:- nimelogini kama admin(LAN) nime trace ip(remote ip) ,username and password but imegoma,msaada wenu wakubwa!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wataalamju naomba kujua haya masaa yanayotumiwa na jamii forum ni yawapi. Au LAPTONGA yangu kimeo. mfano sa hizi ni saa 1549 jJF ni 0234. Hii imekaje jamani
0 Reactions
7 Replies
993 Views
wakuu naombeni msaada wenu kwa hili tatizo langu. Tatizo ni pc yangu haiditect modem ya vodafone zte k 3571-z before ilikuwa inafunction vizuri but now nikiconnect kwenye pc haifunction hivyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana Jf simu yangu ya Nokia 2700 browser yake ni kupitia Opera Mini tangu juzi imegoma kufunguka. Kwenye Menu ya simu, sehemu ya Web ukishusha hadi kwenye Browser uki-select haifunguki...
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Natafuta mtaalamu anayefungua website mpya hasa nataka ya .org, .com. or.tz kati ya hizi tatu. Aliyetayari aniPM haraka nimpe dill.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu members wote wa Jamii Forums. Naombeni msaada wenu kwa yoyote mwenye ufahamu au kujua jinsi ya kuongeza download speed kwenye u torrent. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yoyote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Computer yangu imeficha(hide) baadhi ya mafile yangu MUHIMU yaliyokuwa kwenye ‘Desktop location' ndani ya drive C. Nikijaribu kuya search yanapatikana ktk 'directory' hii hapa&#8230...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wakuu nina iphone nimeletewa ina firmware ya 5.0 nimejaribu ku jailbreak kwa kutumia redsnow imeshindikana.na nimejaribu ku idowngrade pia ime kua ngumu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni honestech TVR 2.5
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Her na baraka za mwaka mpya ndugu watz wenzangu,kwanza kabsa samahan kwan kutokana na kukosa uzoefu wa ku2mia jf cna hakika kama hapa n mahala pake kuleta hl swala,NAOMBA RADH KWA HL Mm n kjan...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kuweka avatar kwenye profile! na jinsi ya kufanya vtu vingine kwenye jf! ndio nimeingia jf hv karibuni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalam naomba kujuzwa kama kuna lens(jicho) la deck za cd,dvd ambayo ni universal (malaya) ukiifunga kwenye deck inasoma cd zote bila kuchagua.Kwani kuna lens zingine zinachagua baadh ya cd...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wapendwa! Naomba mnisaidie tofauti na faida/hasara za kila moja hapo juu!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu wa technology naomba msaada nina laptop aina ya dell inspiron ni mpya kabisa lakini problem yake ni kwamba kila ukifungua net inarespond for just a minute halafu inakat mawasiliana hata kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana wa JF mambo vipi? Natumai mko poa. Nimekaa nikatafakari sana ni jinsi gani tutakavyopunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi au waathirika wa janga hili na hapo ndipo liliponijia hili.Hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom