Tracing an email sender | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tracing an email sender

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kande kavu, Jan 11, 2012.

 1. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni matumaini yangu kuwa wajanja wa jukwaa hili muwazima.

  Niko naomba msaada/mwongozo wenu wa namna ya kumtrace anonymus anayekutumia email.

  Kuna kiumbe nimevumilia nimeshindwa, amekuwa akinitumia email za kukera sana kwa email addresses tofauti pasipo mimi kumfahamu.Contents za email zake zinaonyesha ananifahamu.

  Nianzie wapi kumfahamu huyu kiumbe?

  Tafadhali!
   
 2. K

  Kizzy Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jaribu hii kama unatumia yahoo nenda kwenye inbox fungua one of e-mail ambayo unataka ku trace, kwa juu kwenye option delete ,reply ,forward,spam, icon ya folder,print,( icon ya more option,select this one), halafu click down arrow and select "view full header" then look for sender's ip address hapa utaona several ip address kutokana na number ya server zilizo tumika mpaka kukufikia Just jaribu zote tu, kisha google who is ip address au any ip address tracer. copy paste sender's IP address itakuonyesha wapi imetoka na unaweza kucheki kwenye google map pia ukaona hata jengo ambako imetoka au mtaa. Kama unatumia hotmail au provider wengine basi cheki vipi utaweza kuona full header, au jitumie kwenye yahoo then follow the procedure. hope this helps, au wadau wengine watakupatia njia nyingine rahisi zaidi.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ndo hiyo hiyo
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hauwezi kutrace most webmail emails, hizo ip zitakwambia imetoka server za Google au Yahoo, useless info.
   
Loading...