facebook account

SWEET GIRL

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
520
377
salaam,
jamani naombeni msaada kwani kuna mtu anatumia jina langu kwnye facebook akijifanya ni mimi.sijajua lengo lake bado.sina utaalamu sana na mambo ya facebook je nifanyaje ili asiendelee kuchafua jina langu.nahitaji msaada wenu saana wadau kwani nimekosa amani
 
umeprove vipi maana majina yanafanana.......unless kaweka hadi dates yako ya kuzaliwa,unapoishi na unapofanyia kazi na uliposoma,majina pekee sio proof kuwa ni mtu anatumia profile lako,anyway inabidi ujiunge kisha umreport facebook.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Umejiridhisha kuwa anaku-impersonate wewe? Manake majina yanaweza kuwa yamefanana.
 
umeprove vipi maana majina yanafanana.......unless kaweka hadi dates yako ya kuzaliwa,unapoishi na unapofanyia kazi na uliposoma,majina pekee sio proof kuwa ni mtu anatumia profile lako,anyway inabidi ujiunge kisha umreport facebook.

Hilo nalo neno. Members zaidi ya milioni mia tano lazima majina yafanane.
 
Loading...100% khaaa! Acha kutuzingua jina lenyewe umecopy kwa watu weupe kwa nini lisifanane ?
 
salaam,
jamani naombeni msaada kwani kuna mtu anatumia jina langu kwnye facebook akijifanya ni mimi.sijajua lengo lake bado.sina utaalamu sana na mambo ya facebook je nifanyaje ili asiendelee kuchafua jina langu.nahitaji msaada wenu saana wadau kwani nimekosa amani

Prove mi ur SWEETNESS.
 
Sio labda ni X-Boyfr wako ulimpaga password kipindi mpo pamoja mapenzi yamekolea??
Kama ndivyo badilisha password
 
salaam,
jamani naombeni msaada kwani kuna mtu anatumia jina langu kwnye facebook akijifanya ni mimi.sijajua lengo lake bado.sina utaalamu sana na mambo ya facebook je nifanyaje ili asiendelee kuchafua jina langu.nahitaji msaada wenu saana wadau kwani nimekosa amani

unamfahamu huyo mtu? Hukumpa password?
 
salaam,
jamani naombeni msaada kwani kuna mtu anatumia jina langu kwnye facebook akijifanya ni mimi.sijajua lengo lake bado.sina utaalamu sana na mambo ya facebook je nifanyaje ili asiendelee kuchafua jina langu.nahitaji msaada wenu saana wadau kwani nimekosa amani
umejuaje kama ni jina lako na siyo lake?
 
Acha bange wewe mtoto,umejuaje kama anatumia jina lako? Profile pic ni ya kwako,details zote ni za kwako? Anakuchafua kivipi? Kaoge kwanza
akili ichangamke
 
Maelezo yako hayajakamilika ndio maana tunashindwa kuchangia vizuri. Tunashindwa kuelewa anatumia jina lako kivipi!
 
Mbona mtoa mada mwenyewe katoweka au PACKAGE imekata?
 
salaam,
jamani naombeni msaada kwani kuna mtu anatumia jina langu kwnye facebook akijifanya ni mimi.sijajua lengo lake bado.sina utaalamu sana na mambo ya facebook je nifanyaje ili asiendelee kuchafua jina langu.nahitaji msaada wenu saana wadau kwani nimekosa amani

Njia pekee ya kumkomesha huyo mtu ni kudelete his or her facebook account. Ni PM ili nikuelekeze jinsi ya kudelete his or her facebook account.
 
Back
Top Bottom