Simu za viganjani na number za dharula- zinatumikaje

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Salaaam Wakuu wa Jf technology

Mnaonaje tujaribu kufanya reseach binafsi ya kutafuta taarifa na matumizi ya number ya dharula kwenye makampuni ya simu za mkononi na vyombo husika(Serikali) Nimesoma somaupitia google huko majuu number ya dharula inatumika wa mambo mamebgi hata mtu kumba msaada wa afya. Sasa hapa tanzania

  • Wananchi tunatakiwa kutumia number ya dharula gani au kuwasilisha taarifa gani?
  • Number hizo ni zipi kwa kampuni gani?
  • Tukupiga zinakuwa directed wapi?
  • etc
Mtumiaji anapojribu kupiga simu ya dharula kupitia mtandao wa GSM simu ile inatakiw kuwa redirecedt ile number kwenye kituo cha karibu cha dharula. Mfano mnara wa mwanza utapelekak ituocha mwanza mnara wa dar utapeleka dar.........

Vile vile simu nyngi za GSM zinaweza kupiga number ya dharula hata
  • kama simu imefungwa(locked )
  • simu haina simcard
  • badala ya PIN number muhusika akingiza number ya dharalula
Tupeaane feedback mtandao gani na simu gani zinawezesha hili

Number za dharula tunazotiwa kutumiai ni zipi

112,999 na991 ni baadhi ya number za dharula zinakuja pre-programmed kwenye simu(Iphone,Nokia samsung, lg etc) toka kiwandani(Hardware programmed)kwenye simu Vile vile kampuni za simu zinawezakuweka wenye simcard number za ziada za dharula

Je
  • wananchi tunajua na tumeelimishwa kuhusu number hizi?
  • TRCA wana sheria kuwaagiza makampuni ya simu juu ya number za dharula ambazo niza lazima kuwepo kutozichaji

Na hapa tuambiane baaa ya kila mtu kujaribu kwa simu yake na kampuni yake ni number gani ya dharula inafnya kazi na kama inakwenda bila kuchajiwa

Faida ya number za dharula zinazkuja preprogrammed

Matumzi ya number kama 112 kwa dharula kwenye mitandao ya GSM yanaweza kuwa a faida kuliko number nyingine hasa kwenye mitandao ya simu sababu traffc ya 112 inapewa priroty kuliko trffic ya call za number nyingine kawaida.

Kwa baadhi ya set up za GSM kuna baadhi mitandao unaweza kupiga number ya dharula hata ama simu haina Simcard

Tujaribu tupeane observation zetu je hali iko hivi hapa kwetu Tanzania na kama sio kwa nini
 
Back
Top Bottom