how to unlock ideos mobile phones with tigo netwek

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,848
1,938
Habarini wakuu..
Naombeni tusaidiane hapa kwa wenye uelewa na hivi vitu,.
Ni namna gani nitaweza ku unlock sim hii niweze kutumia mitandao mingine tofauti na tiGo.
kila ninapoweka line nyingine inaniambia enter unlocking codes....nikajaribu kutumia calculater software za huawei nikipachika codes wapi, inagoma...
Msaada pliz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom