A Million dollar Question: "What is Analogue Signal?"

Polonium210

Member
Nov 24, 2011
58
39
Wakuu nawakaribisha kwa Mjadala wenye lengo la kueleimishana Mambo mbalimbali yahusuyo Technolojia ya Mawasiliano. Leo nimeona nirushe Swali ambao wengi huwa wanalijibu kimakosa na walimu wao wanawapa Marks

"What is analogue Signal?"
 
As far as i know na jinsi nilivofundishwa katika somo la SIGNALS & SYSTEMS ni kwamba analogue signal is the one that varies continuously with time. And another and important condition for a signal to be named as analogue is this; it should comprise as many as possible amplitude levels at different time instants. Nipe pata au nyanjo yangu kama nimekosa.
 
Kama mimi ningekuwa Mwalimu ningekupa Kosa
 
Back
Top Bottom