Hivi Nokia 1600 ndivyo ilivyo au?

Hivi Nokia 1600 ndivyo ilivyo au?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Nna nokia 1600 naitumia kwa sasa ila nashangaa keypad (button) hazina mwanga Kwa mliowah itumia je ndivyo ilivyoudwa au?
 
Nna nokia 1600 naitumia kwa sasa ila nashangaa keypad (button) hazina mwanga Kwa mliowah itumia je ndivyo ilivyoudwa au?

mkuu sivyo zilivyo ila ni hyo yakwako tu na acha kuhusisha tatizo la cm yako na cm zote za aina hyo tatizo linatibika mkuu labda setting au ic ya taa imekufa unabadilisha ingine maisha yanasonga mbele tembelea fundi aliyekaribu na ww
 
Back
Top Bottom