oil inatoka kwenye dip stick

kipili

Member
Oct 6, 2011
29
4
nina gari used toyota cresta.sehemu ya kupimia engine oil mara nyingine hukuta imechafuka kwa oil na maeneo yote kuzunguka hapo, pia naweza kuikuta dip stick imejivuta kwa juu,(kama imechomolewa).nini tatizo na suluhisho
 
jaribu kuwaona mafundi garage watakuambia nini cha kufanya,inaweza ikawa filter zimepasuka,kama hujafanya service muda mrefu pia nia tatizo.
 
Back
Top Bottom