Wataalam, vipi JF mobile app

Wataalam, vipi JF mobile app

Chamalama

Senior Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
131
Reaction score
44
Wataalam wa software, vipi kuhusu kutengeneza JF app? Kuna mtu aliwasilisha mada hii, ilifikia wapi?
 
sasa hivi wamejikita kwenye wapsite zaidi kwani app ni wachache sana wanazozitumia kwa hiyo sasa JF admin yote imejikita kwenye wapsite zaidi. Ni hayo tu..
 
App kwa Android mbona ipo?

Isake market
 
Back
Top Bottom