wadau i knw there is a a way of listening radio on the computer plz kama kuna mtu anaijua hiyo software ambayo itakufanya usikilize radio anieleze plz au kama kuna njia...
Habari wanajamii. Mi natumia simu(nokia 5800) ku access internate. Tangu juzi yahoo mail hafunguki, ila vitu vingine kama jamii forums, facebook n.k napata kama kawaida. Nisaidieni mawazo jinsi ya...
hello gamers, nimependa saana hii, watch or download it, i mean it, i really reccomend it!!!
its very good, especially to people who are addited to video gaming!!
Iam actually one of the guy who...
dear friends i once have a trick of downloading torrents files using idm and is as follows;kwanza kabisa open an account freely katika www.torrific.com then download torrent and save it any where...
Mimi fundi solar ila napatashida kujua ni solar ipi inafaa kwenye kazi furani,na betri yake na c/control,pia napenda kuja kampuni ni ipi nzuri hasa solar
naomba kusaidiwa hivi airtel wamebadilisha namba zao? nimetuma neno internet kwenda 15444 lkn msg haiendi nikawa na mashaka kuwa labda wamebadisha. kama kuna namba mpya nisaidieni
WADAU NIELEWESHENI HAWA TIGO WAMEKUWAJE MBONA WAMEBANIA KUPITA KIASI HADI KUTAKA SIFA?
yaani ukiweka 700/= hela ya kutwa hupati mtandao wowote labda Jamii Forum tu au simu yangu ndo uwezo wake...
Kuna tuitorial flani ya blender nimeikuta kwenye site yao, natamani niwe nayo ila nashindwa namna ya kuidownload kama unaujuzi jinsi gani naweza kuipata naomba msaada wako
SHUKRANI.
Wadau kuna modem ya ttcl nilinunua mwez uliopita hii modem tangu nanunua kabla ya kuanza kutumia lazma ufanye setting zake kwanza hii ni pamoja na kuandika namba ya cm kama user name pamoja na...
Natumia laptop tajwa hapo juu window Mac os x 10.5.8, kunabaadhi vitu nashindwa kuzifungua na kuinstal kwa mfano nimejaribu kufungua joinAir inaniambia ( there is no default application specified...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.