How can i secure my mobile phone

unavyosema kuzisecure unamaana gani hasa..tafadhali jielezee vizuri ili tuone kama tunamajibu ya kukupa...unataka kuwa secure katika swala lipi na lipi?....elezea kiundani kidogo ..hapo topic iko so general
 
Kuzisecure kwa maana ya hata kama zikiibiwa niwe na uwezo wa kuzipata

6230 old model ni ngumu labda kwa n70 kidogoo then mi naona inategemea na mtu aloiba akili yake ya simu ipoje.

Nafkiri unaifahamu au ushawahi kuiskia ant virus ya kaspersky now naona ndo best mobile guard ina features kama hizi

1) ant theft- hii inafanya kazi kwa kueka namba ya mtu unaemtrust incase simu imeibiwa mtu aloiba akieka line yake utatumiwa msg kwenye ile namba uloeka

2) file protection- kama simu itabiwa au mtu kuchukua simu yako hatakuwa na uwezo wa kuangalia picha, miziki na video zako

3) white and black list- white list watu safi na black list ni wale utakao wa block wakikukol waskupate na sms zao zisije

Just google it
 
Back
Top Bottom