Wapendwa wote naombeni kuuliza kwa nini ninapochagua option ya 'hide caller ID' sipati access kwenye mtandao au wenye mali wanazuia?au hawaoni umuhimu wake nakumbuka zamani hii option ilikuwa...
Nahitaji kutengeneza website kwa kutumia drupal cms. Nimesoma tutorials za Drupal essentil training za Lynda ila bado nashindwa kuimudu hasa ktk block and pages customization. Naomba msaada ni...
Habari za hapa wadau!.
Anahitajkia mtaalam wa MYOB kufanya installations and configuration na ku-move data from old systems to new, kama kuna mtu anajuwa/unamjua tuwasiliane kwa email yangu...
Habari za hapa jamvini wakuu, nahitaji DvD Duplicator yenye uwezo wa kutoa 10 copies at per. Kama kuna mwenye nayo au mwenye kuweza kunielekeza zinakopatikana nitafurahi sana
Wakuu wa hapa jamvini ninahitaji mashine hizi kwa ajili ya kufungua stationary yangu ndogo.
Cannon photocopier iR2318 &
HP Laserjet 2055
Epson stylus photo 650
Heshima kwenu wakuu.
Nilikuwa nje ya mtandao kwa siku kadhaa, leo nimerudi tena hewani ila nimekuta mambo yamebadilika hapa kwangu.
Kwanza, ile voda tuliyokuwa tunatumia bure nimekuta...
Ndugu zangu habari sana.
For two weeks now i cant access internet on my blackberry bold 9700, ninatumia huduma ya tigo Tanzania.
Naombeni msaada wenu kwa mwenye ufahamu.
Thanks
New Scientist has recently revealed the name of the world's first hacker, who managed to discover a security hole in Marconi's wireless telegraph and managed to show the inventor up.
It turned out...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa jambo moja,nimesahau password yangu ya yahoo na kibaya zaidi ninapotaka kuwajulisha kuwa nimesahau passowrd wananiuliza secret questions ambazo nilijaza wakati...
Siioni kabisa local disk d nimejalibu kila njia imeshindikana na kwenye manage inaonekana ila in active ina option ya delete tu, msaada wataalamu:A S embarassed:
wakuu kwa wale gamers kama mimi, what do you think is the best video graphic card between the two? i tried Nvidia its quite awesome bt never had a chance to try AMD radeon. Whoever hs tried it can...
Natumia avast mara kwa mara inaniletea msg ya kuuptudate ila nikiicklick ili ianze haifanyi chochote inasema wait while initializing na hamna kinachoendelea msaada plz na nahisi hii laptop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.