Hivi kuna mechanism gani ya barid ya kwenye frige na makopo ya maji kugeuka rangi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna mechanism gani ya barid ya kwenye frige na makopo ya maji kugeuka rangi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Mar 7, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau kwenye frige hapa nyumbani tunatumia makopo ya maji ya kawaida haya ya lita moja na nusu ndio huwa tunahifadhia maji lakini kadri siku zinavyoenda makopo mengi huwa yanabadilika na kuwa na rang kama ya udongo hv je hapa kuna mechanism gani?
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  BACTERIA!!!!!!??
  mnakunywa sumu kama hamjui. Either fridge yenu haina ubaridi wa kutosha au hamsafishi makopo yenu vizuri.
   
Loading...