jamani hivi hii FACEBOOK ina faida au ni hasara!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani hivi hii FACEBOOK ina faida au ni hasara!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mtanganyika tz, Dec 5, 2011.

 1. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yan nashindwa hata kuamini! facebook imemgeuza rafiki yangu amekua "zombie" yan anaamka na facebook, anacheka na facebook, na kula nayo. nadhani hata anaota facebook! nimejaribu kuchunguza naona kama facebook inammaliza ndugu yang1 yani ni hasara mwanzo mwisho!!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inategemea na matumizi ya mtu.Wengine inatupa nafasi ya kuwa na watu wetu walioko mbali pia kupata wale tuliopotezana.Hii tunahesabia ni faida.

  Usisahau tu kwamba vitu vingi vinatakiwa vitumiwe kwa kiasi, kiasi kikizidi vinakua na madhara.
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ndugu, mimi sioni tatizo lilko wapi.
  Kwa sababu hata mimi kabla ya kulala lazima nipitie JF, nikiamka kabla ya kufanya chochote lazima nipitie humu na kila ninapopata nafasi wakati wowote lazima nichungulie kuna jipya gani JF. Sasa kama na mimi nitaitwa zombie, nahisi sio sashihi.

  Mimi naamini watumiaji wa FB wengi unafahamu ni wa age gani. Najua pia topics nyingi kwenye fb wewe unajua zunahusu nini zaidi. Kwa hiyo huyo ndugu yako hiyo ndiyo hobie yake,usimlaumu. Kuna vitu ana interest navyo humo, muache ajiachie, au sio mkuu?
   
 4. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa nimekuellewa!
   
 5. S

  Smarty JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  inategegemea yupo facebook ipi?? Ma'ke kuna pesonal facebook na institutional facebook ambapo unaweza kutanga biashara zako au product za industry unazozalisha.. Ni ni hiyo anayotumia basi yuko sahihi kuwepo masaa yote kwa sababu yupo kazini...
   
 6. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni phase tu hyo,itapita akishazoea!!!!
   
 7. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe! fafanua vizuri! kwa jinsi navyojua jamaa keshakua addicted!
   
 8. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ubaya wa facebook matumizi yako... kwa mfanyabiashara FB ni moja ya maeneo mwafaka ya Promo... kwa wambea na waharibifu FB ni pahala pa kutongozana na kusemeana mbovu... kwa intelijensia FB ni pahala pazuri pa kupata taarifa za watu wanaowatafuta... kwa watu maarufu FB ni pahala pazuri pa kusikia kupata maoni ya mashabiki wako... list inaendelea...
   
 9. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  FB ina faida na Hasara inategemea na choice hako
   
 10. D

  David Julius New Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fb ipo cul bt ppo wana use it badly lkn fb z vry nyc guyz n am one of its memberz!
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Usilojua ni sawa na usiku wa giza
   
 12. n

  nolakinabo Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  facebook hii jaman sio uongo inapoteza kila mtu anakuwa busy kuliko kufanya kazi hebu angalia kwenye bas
   
 13. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mambo za Facebook haziko kwenye wall aisee, mambo za Facebook ziko kwenye inbox, wacha kabisa. Niliwahi kufanya phishing ya Facebook, nkadaka username & password za watu kama 200 hivi. Aisee, yaliyomo humo inbox hatari tupuuuu, kwenye wall watu wanazuga tu na ma phrase na ma quote ya motivation sijui ninii aghhhhhr
   
 14. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Inaelekea wewe ni tapeli sio bure,watu 200 wa nini?
   
Loading...