Zantel free net other way | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel free net other way

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kejof2, Mar 4, 2012.

 1. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,715
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Kwa wale ambao mlikua mnatumia your freedom then ikafika kipindi ikawa inabania speed kuna njia nyingine go to this site download appliccation yao inaitwa cproxy then create an account by using your email adress au unaweza kutumia temporary email adrress eg Temporary Email Address - TemporaryEmail.US after that fungua email yako utatumiwa user id na password yako then install hiyo program uliyo download after that ifungue then nenda kwenye protocols click http server then click edit pale kwa chini badili local port iwe 80 badala ya 3128 after that nenda kwenye preferences kwenye account chagua user id kwenye ki box paste id yako uliyotumiwa kwa email then paste na password uliyotumiwa then nenda chini select local computer halafu kwenye server chagua yoyote but iwe inaishia na udp:53 then bonyeza apply halafu ok then kwenye browser yako weka proxy 127.0.0.1:80 then you aore ready to go but ukiona inazngua i restart hiyo program ya cproxy ki icon cha pale pembeni kwa cini chenye nembo ya c kikiwa cha blue then you are ready to go enjoy na nivizui utumie afd dialer maana zantel wanamtindo wa ku disconnect hyo itakusaidia and hiyo account unayopewa ni free for 3days but unaweza ku create many trial accounts kila zinapoisha by using a dispossable email adress but kama unaweza kununua kwa paypal kwa mwezi bei yao ni usd3.60 check site yao wana bei nyingine enjoy:A S 465:
   
 2. Shark's Style

  Shark's Style JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mkuu hii ni free unlimited? Vipi speed yake?
   
 3. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,715
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  speed iko poa sana hyo account unayo create wanakupa trial but ikiisha unaweza create account nyingine bt ukiwa na paypal unaweza kulipia kwa mwezi unlmtd dola3.60
   
 4. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa wanaotumia 4n inakuwaje?
   
 5. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,715
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  hyo kwa pc
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  na je kama natumia zile modem za zantel ambazo hazina sehemu ya kuweka line njia hii itafaa?
   
 7. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,715
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  yap inafaa tu ilimradi uwe una2mia internet yao haijalishi modem gani
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  thanks i will give you feedback
   
 9. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Sasa hiyo account naifungulia wapi kwenye hiyo software nliyo weka au wapi?
   
 10. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,715
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  kwenye site yao we fata hiyo link kwenye software utaingiza user id na password uliyotumiwa
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,775
  Likes Received: 7,088
  Trophy Points: 280
  In short zantel udp port 53 ipo wazi so ukitumia vpn yoyote una access free internet. Eneo langu mimi zantel haina 3g kama upo dar jaribu kudownload client ya vpn ya simu. Either nokia, iphone au android. Ila isiwe open vpn maana me nimejaribu open vpn zinakataa. Then tafuta server yenye udp port 53 try kukonekt nayo i hope utapata free acses
   
 12. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Twashukuru
   
 13. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kufunga port si jambo linalochukua muda, nyie endeleeni kunadia tu, port 53 iwazi, ngojea tuamke kesho tukute ishafungwa, ndio mtaacha kufanya inadi
   
 14. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa sasa nipo kwenye simu. kuna ujanja mwengine nitawapa nikipata wasaa kwennye kidadavuzi mpakato (laptop)
   
 15. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa tunaotumia simu vip jamani?
   
 16. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  thank you bro. but inaonekana ukidownlaoad kama 200mb wanakublock mpaka ubadili username. sio kama siku tatu kama wanavyosema. au nyie mumeonaje? na baada ya siku tatu watablock completely. au kuna aliyotumia free zaidi ya siku tatu?
   
 17. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani simu vipi?
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ni kweli kabisa wanablock mara baada ya 200mb, labda mwanzisha mada unasemaje
  :tongue:
   
 19. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,715
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  yaap ni hivyo 200mb za troal but kama una paypal unaweza lipia dola 3.60 kwa mwezi
   
Loading...