wakuu habarini,huku mie niliko mwanza naona tangu mchana kuna hali ambayo tangu kuzaliwa kwangu nahis cjapata kuona maana mchana mishale ya saa7 nimeona jua likiwa limezungukwa na kitu kama upinde...
nokia wametoa sim yenye uwezo wa 41 mp,ln kinacho shangaza ni kubwa ina sensor tano za 5 mp na toleo la mwisho la picha ni 5mp.yaani sijaelewa kabisa kuhusu camera yake.
wakuu naomba msaada,nime download win7 kutoka kwenye internet na nime save kwenye computer,sasa nataka ni copy kwenye cd ili niweze ku boot nayo computer,nifanyeje?
imeanza kutokea baada ya kutumia Your feedom client. Open VPN na Afd dialer kusurf Internet. Kama ikiendelea kutokea ina madhara gani?
naomba msaada wakuu
habari wana jf jamani naomba kujuzwa jinsi ya kutumia premium cookies kwa hizi file hosting kama rapidshare au megashares kwa kutumia google crome au mozila firefox kama kuna mtu ana mifano mizuri...
I am looking for some software that can capture keystrokes and messages from a MAC and i can monitor from a remote computer because of my 9yrs son is always addicted to computer. While I often go...
hey guys and sisters just wondering kama kuna trick nyingine za kupata free internet with no charge najua hakuna mtu asiyejua kuna hizi bahati post please if possible au send shinyc2009@gmail.com
Naomba msaada wa Windows7 Ultimate installation, nikifika hatua ya "install now" inaniambia select drivers to be installed, hapa kila uchaguzi hauniletei matunda, task bar maneno "collecting...
habari zenu !!! kwa wale wapenda games...........
GAMES AVAILABLE..!!
1. RACING GAMES.
-Need For Speed: The Run Full: 15.0 GB Graphics, Speed.CPU (released 15.11.2011)
Minimum System Requirement...
Nilinunua USB Flash Disk ya GB 8 mwezi uliopita, nimekuwa naitumia kuwekea file za muhimu sana. Leo nimejaribu kuifungua nifanyie kazi mafaili yangu, imeshindwa kufunguka automatically, nimejaribu...
Imeandikwa na mwananchi la leo
soma hapa
Raymond Kaminyoge
LUNINGA au televisheni za teknolojia ya analojia zenye `matumbo' hazitafanya kazi kuanzia Januari Mosi, 2013 hadi ziunganishwe na...
wanajamvi na shida na kutumia opera mini kwenye simu yangu ninaandika domain name vzur nikiload inaandika check date settng au ur internet prvder nimechange tarehe lakn haifai.anaeyejua hii makitu...
HIVI wadau ngoja tudiscuss kuhusu virus na operting system za microsoft, toka nimenaza kuzijua tokea window 95,98,2002,xp na sasa window 7 na hivi punde itatoka window 8 zote...
Wadau, Bro wangu kanipa sim yake aina ya T-Mobile baada ya kuona kuwa imemzingua.
Simu ni tachi skreeni. Icon zote za upanda wa kushoto hazi respondi, yy anadai kuwa aliiweka karibia na Tv yake...
wadau i knw there is a a way of listening radio on the computer plz kama kuna mtu anaijua hiyo software ambayo itakufanya usikilize radio anieleze plz au kama kuna njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.